Matokeo Alliance Fc vs Mbao Fc leo 22.8.2018

Matokeo Alliance Fc vs Mbao Fc leo 22.8.2018

0

Matokeo Alliance Fc vs Mbao Fc leo 22.8.2018

Matokeo ya Moja kwa moja kati ya Alliance Fc wageni katika ligi kuu wakicheza dhidi ya Mbao Fc

Dakika ya 2

Alliance 0 – 0 Mbao Fc

Dakika ya 7 Ya mchezo Mbao Fc wanapata Kona , Inapigwa Kona lakini inakosa madhara langoni mwa Alliance

Hubert Charles wa Mbao Fc anaonekana kuwa hatari kwa Alliance.

Dakika 15

Alliance 0 – 0 Mbao Fc

Dakika ys 23 Alliance wanapata bao kupitia kwa Chinedu lakini mwamuzi anakataa kwani tayari Line 1 ananyoosha kibendera kuwa ni Offside.

Alliance 0 – 0 Mbao

Dakika 40

Alliance 0 – 0 Mbao Fc

HALF TIME

Alliance 0 – 0 Mbao Fc

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 50

Alliance 0 – 0 Mbao FC

matokeo Mechi zote TPL Leo 22.8.2018

Dakika ya 60

Alliance 0 – 0 Mbao Fc

Dakika ya 70

Alliance 0 – 0 Mbao Fc, Mbao Fc wanatengeneza nafasi nyingi za kushambulia kuliko Alliance katika kipindi hiki cha Pili

Goaaaaaaal Evergestus Mujwahuki anaipatia Mbao Fc bao la Kuongoza

Alliance 0 – 1 Mbao Fc

FULL TIME

Alliance Fc 0 – 1 Mbao Fc

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY