Matokeo Azam vs Mbeya City TPL Leo 23.8.2018

Matokeo Azam vs Mbeya City TPL Leo 23.8.2018

0

Matokeo Azam vs Mbeya City TPL Leo 23.8.2018

Matokeo ya Mechi ya Azam Fc dhidi ya Mbeya City TPL Leo 23.8.2018 kutoka uwanja wa Azam Complex

Dakika ya 10

Azam Fc 0 – 0 Mbeya City

Dakika ya 20

Azam Fc 0 – 0 Mbeya City

Dakika ya 25

Azam Fc 0 – 0 Mbeya City

Dakika ya 34 Joseph Mahundi anaipatia Adam Fc bao LA Kuongoza

Azam fc 1 – 0 Mbeya City

HALF TIME

Azam Fc 1 – 0 Mbeya City

Kipindi cha pili kinaanza Azam wanapata bao LA pili kupitia kwa Danny Lyanga

Dakika ya 47

Azam fc 2 – 0 mbeya City

DAKIKA YA 60

Azam 2 – 0 Mbeya City

Dakika ya 67 Ramadhan Malima wa Mbeya City anaepwa kadi nyekundu

Dakika ya 77 Mbeya City wanakosa penati, Eliud Ambokile anakosa

DAKIKA YA 85

Azam 2 – 0 Mbeya City

FULL TIME

Azam 2 – 0 Mbeya City ( Mahundi, Lyanga)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY