Matokeo Azam vs Ndanda ligi kuu TPL leo 27.8.2018

Matokeo Azam vs Ndanda ligi kuu TPL leo 27.8.2018

0

Matokeo Azam vs Ndanda ligi kuu TPL leo 27.8.2018

Matokeo mechi nyingine ya Ligi Kuu leo 27.8.2018 kutoka uwanja wa Azam Complex kati ya Azam  na Ndanda.

Dakika ya 2.

Azam 0 – 0 Ndanda

Dakika ya 5

Azam 0 – 0 Ndanda

Dakika ya 10

Azam 0 – 0 Ndanda

Dakika ya 30

Azam 0 – 0 Ndanda

Dakika ya 42 Azam Fc wanapata bao kwa njia ya penati baada ya Ndanda kushika mpira kwenye 18, Kutinyu Tafadzwa

Azam 1 – 0 Ndanda

HALF TIME

Azam Fc 1 – 0 Ndanda

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 46

Azam fc 1 – 0 Ndanda

Dakika ya 60

Azam Fc 1 – 0 Ndanda

Goaaaaaal dakika ya 60 Kutinyu anaipatia Azam Fc bao la Pili

Azam 2 – 0 Ndanda

Goaaaaaal Joseph Mahundi anaipatia Azam bao la 3.

Azam Fc 3 – 0 Ndanda

FULL TIME

Azam Fc 3 – 0 Ndanda (Kutinyu mabao mawili, Mahundi bao 1)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY