Matokeo Ethiopia vs Rwanda U17 Leo 24.8.2018

Matokeo Ethiopia vs Rwanda U17 Leo 24.8.2018

0

Matokeo Ethiopia vs Rwanda U17 Leo 24.8.2018

Timu ya Taifa ya Ethiopia imefanikiwa kupenya Fainali baada ya Kuwatoa Rwanda katika mchezo wa Nusu fainali.

Mechi hiyo iliisha kwa sare ya bao 2 kwa 2 na ndipo mikwaju ya Penati ikaamua mshindi ambapo Ethiopia walipata penati 4 na Rwanda 2.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY