Matokeo KCCA vs AZAM fc leo 10.8.2018

Matokeo KCCA vs AZAM fc leo 10.8.2018

0

Matokeo KCCA vs AZAM fc leo 10.8.2018

Leo August 10 2018 nchini Uganda kulichezwa mchezo wa kirafiki kati ya Azam Fc na KCCA ya Uganda ukiwa ni mchezo wa Kirafiki.

Katika mchezo huo timu ya KCCA imefanikiwa kuwanyuka Azam Fc mabao 4 kwa 2.

Mabao katika mchezo huo ya KCCA yamefungwa na Mutyaba Mutyaba, Awany Timothy, Kyambadde na Kaddu huku Magoli ya Azam Fc yakifungwa na Danny Lyanga kwa Penati na Aggrey Morris.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY