Matokeo Mawenzi vs Yanga leo 12.8.2018
Matokeo mechi maalumu ya kumuaga Aliyekuwa nahodha wa Yanga Nadir Haroub Cannavaro, Mawenzi vs Yanga
Timu zote ziko uwanjani tayari kwa mpambano
Mechi imeanza
Mawenzi 0 – 0 Yanga
Dakika ya 10 Nadir Cannavaro anatakiwa kutoka sasa anakumbatiana na wachezaji wenzake wa Yanga, Kwa Abdi Kassim Babi na Kisha anamkabidhi kitambaa cha Uongozi Kelvin Yondani
Kwa muda wote Huo mechi Imesima
Nadir Haroub Cannavaro baada ya Uongozi wa Yanga kusema kuwa wanastaafisha jezi ya Cannavaro
Nadir Haroub Cannavaro anakataa na kusema anaona jezi yake isistaafishwe na badala yake apewe Abdallah Shaibu Ninja kwani anaona anafaa kuivaa jezi hiyo kutokana na uwezo wake
Dakika ya 17 mpira Unaendelea sasa baada ya Dakika kadhaa kusimama kutokana na Cannavaro kuwa anaagwa na kukabidhi kitambaa kwa Yondani na Jezi kwa Abdallah Shaibu Ninja
Dakika 25 zimekatika
Mawenzi 0 – 0 Yanga
Dakika ya 34 Gadiel Michael anajaribu kutiririka na Kuingia Kwenye Boksi, Beki anatoa na kuwa Kona
Dakika ya 39 Heritier Makambo anaingia na Kutoa Krosi lakini hakuna wa Kumalizia mpira unakuwa Goal Kick
Dakika ya 40
Mawenzi 0 – 0 Yanga
Dakika 45 za Kipindi cha Kwanza zimemalizika matokeo yakiwa bado 0 kwa 0
HALF TIME
Mawenzi 0 – 0 Yanga
Kipindi cha Pili
Anatoka Abdallah Shaibu Ninja anaingia Raphael Daud
Dakika ya 50 Bado ngoma Ngumu kwa Yanga na Mawenzi Market, Ni 0 kwa 0
Goaaaaaaaaaaal Dakika ya 52 Heritier Makambo anaipatia Yanga bao la Kwanza
Mawenzi 0 – 1 Yanga
Dakika ya 60 Yanga wanafanya mabadiliko wakati huu akitoka Mrisho Khalfan Ngassa “Anko” na nafasi yake inachukuliwa NA Juma Mahadhi
Dakika ya 65
Mawenzi 0 – 1 Yanga
Mpira bado unaendelea kuchezwa zaidi katikati ya uwanja, Yanga wakionekana kutulia mara baada ya Kupata bao kupitia kwa Heritier Makambo.
Dakika ya 67 Klausi Makambo anaokoa mpira mara baada ya Mpira kuelekezwa langoni mwa Yanga
Dakika ya 70
Mawenzi 0 – 1 Yanga
Dakika ya 78 Deus Kaseke anawachukua mabeki wa Mawenzi anapiga Krosi ambayo Juma Mahadhi anaunganisha na Kupaisha langoni mwa Mawenzi
Mawenzi 0 – 1 Yanga (52′ Makambo )
Dakika ya 80 Pius Buswita anaingia kuchukua nafasi ya Deus Kaseke
FULL TIME
Mawenzi 0 – 1 Yanga (52′ Heritier Makambo)