Matokeo mechi zote za Ligi Kuu TPL Leo 22.8.2018

Matokeo mechi zote za Ligi Kuu TPL Leo 22.8.2018

0

Matokeo mechi zote za Ligi Kuu TPL Leo 22.8.2018

Ligi Kuu soka ya Tanzania bara TPL Kwa mechi za Leo 22.8.2018 katika nyasi za viwanja mbalimbali nchini Tanzania.

MATOKEO KIPINDI CHA KWANZA

Kagera Sugar 2-1 Mwadui FC (Omary Mponda 20’, 29’: Salum Ijee 9’).

Ruvu Shooting 0-0 Ndanda FC

Alliance FC 0-0 Mbao FC

Coastal Union 0-0 Lipuli FC,

Singida United 0 – 1 Biashara

FULL TIME

Alliance FC 0-1 Mbao FC (Mujwahuki)

Kagera Sugar 2-1 Mwadui FC (Omary Mponda 20’, 29’: Salum Ijee 9’),

Ruvu Shooting 0-1 Ndanda FC (Vitalis Mayanga 68’),

Coastal Union 1-1 Lipuli FC (Bakar Mwamnyeto 69’ : Zawadi Mauya 59’).

Singida United 0 – 2 Biashara United

Tupo kukujuza Kila Kitu kuhusu Ligi Kuu, Hakikisha Umelike Ukurasa wetu wa Facebook kwa Kubonyeza HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY