Matokeo Namungo Fc vs Simba leo 11.8.2018

Matokeo Namungo Fc vs Simba leo 11.8.2018

0

Matokeo Namungo Fc vs Simba leo 11.8.2018

Matokeo mechi ya Kirafiki kati ya Namungo Fc dhidi ya Simba ya Jijini Dar Es Salaam moja kwa moja kutoka uwanja wa Majaliwa wilayani Ruangwa mkoani Lindi.

Waziri Mkuu amemaliza kuzindua uwanja na Kuzikagua timu muda wowote mechi inaweza kuanza.

Mechi imeanza katika  uwanja uliozinduliwa Leo uwanja wa Majaliwa

Namungo 0 – 0 Simba

Dakika 5

Namungo fc 0 – 0 Simba

Timu zote zinaonekana kucheza zaidi mpira katika eneo la Katikati ya Uwanja zikipigwa pasi za hapa na pale.

Dakika ya 10

Namungo Fc 0 – 0 Simba

Dakika 15 zimekatika katika uwanja wa Majaliwa wilayani Ruangwa mkoani Lindi bado milango ni migumu.

Namungo Fc  0 – 0 Simba

Dakika 25 zimekatika katika uwanja wa Majaliwa, Namungo Fc 0 – 0 Simba sc

Dakika 30 zimekatika

Namungo 0 – 0 Simba

Dakika 40

Namungo 0 – 0 Simba

HALF TIME

Namungo fc 0 0- 0 Simba

KIPINDI CHA PILI

SIMBA wamefanya mabadiliko kadhaa ameingia Jonas Mkude na Meddie KAGERE,Kipa Salim na rashid Juma

Dakika ya 48 Bado 0 kwa 0

Simba wanaonekana Kuanza vyema Kipindi cha Pili, Dakika ya 50 bado 0 kwa 0

Dakika ya 65

Mambo bado magumu kwa Timu zote

Namungo 0 – 0 Simba

Dakika ya 70 Bado 0 kwa 0

Dakika ya 74 Simba wamezidi Kuongeza nguvu kwa Kuwaingiza Pascal Wawa, Shiza Kichuya na Emmanuel Okwi

Dakika ya 77 Emmanuel Okwi anajaribu kichwa kinagonga mwamba na kurejea Uwanjani

Dakika ya 78 Simba wanawakosa kwa mara nyingine goli timu ya Namungo

Dakika zinaendelea kuyoyoma sasa ni dakika ya 85

Namungo 0 – 0 Simba

FULL TIME

Namungo 0 – 0 Simba

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY