Matokeo Rayon Sports vs Yanga leo 29.8.2018

Matokeo Rayon Sports vs Yanga leo 29.8.2018

0

Matokeo Rayon Sports vs Yanga leo 29.8.2018

Haya hapa Matokeo ya Mchezo kati ya Rayon Sports dhidi ya Yanga mechi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika CAF Kundi D

Tutakupa Matokeo ya Moja kwa Moja mchezo wa Yanga na Rayon Sports

Wachezaji wote wako uwanjani tayari kwa Pambano kuanza

Mechi tayari Imeanza

Rayon 0 – 0 yanga

Dakika ya 1 ya Mchezo Rayon wanapata Kona baada ya Raphael Daud Kuutoa Mpira

Dakika ya 3 Yanga wanaonekana kuonana zaidi ya Rayon katika dakika hizi za Mwanzo

Dakika ya 5 Rayon Sports wanatengeneza nafasi nzuri kutokea Kulia, Inamiminwa Krosi lakini mpigaji wa Mwisho anapiga Mpira ambao unashindwa kulenga goli.

Dakika 7

Rayon 0 – 0 Yanga

Dakika ya 8 Gadiel Michael anacheza madhambi ni mpira wa Adhabu kuelekea yanga

Dakika ya 9 Inapigwa faulo nzuri lakini Andrew Vincent anaiokoa vizuri

Dakika ya 12 inamiminwa krosi langoni mwa Yanga mchezaji anaruka Free Header inakuwa bahati nzuri kwa Yanga mpira Unapaa

Dakika ya 16 Matheo Anthony anampenyezea krosi safi Deus Kaseke , Kwa bahati mbaya Kaseke anashindwa  kuitumia nafasi ya wazi.

Rayon Sports 0 – 0 Yanga

Goaaaaal Dakika ya 18 Rayon Sports wanapata Bao kupitia kwa Biminyimana

Rayon Sports 1 – 0 Yanga

Dakika ya 22 Inapigwa shuti kali Kipa Beno anatoa na kuwa kona

Dakika ya 25

Rayon 1 – 0 Yanga

Dakika 30

Rayon 1 – 0 Yanga

Dakika ya 35 Heritier Makambo anaumia na anaonekana kukaa chini baada ya Kugongwa kwenye nyama za Paja.

Dakika ya 37 Heritier Makambo  bado anaonekana kuchechemea licha ya kurejea Uwanjani.

Mpira kwa sasa ni mapumziko katika uwanja wa Nyamirambo na Matokeo ni 1 kwa Rayon Sports na 0 kwa Yanga.

HALF TIME

Rayon Sports 1 – 0 Yanga

KIPINDI CHA PILI

Kimeanza

Rayon Sports 1 – 0 Yanga

Dakika ya 50

Rayon Sports 1 – 0 Yanga

Dakika ya 60 Pato Ngonyani anaingia kuchukua nafasi ya AbdallAH sHAIBU nINJA ambaye tayari alikuwa na kadi ya njano.

Dakika ya 62 Raphael Daud anapewa kadi ya njano

Dakika ya 67 Anatoka Makambo anaingia Yusuph Mhilu

Dakika ya 75

Rayon Sports 1 – 0 Yanga

Dakika ya 80 yanga wanapata Free kick karibu na Goli la Rayon

Dakika ya 86 Yanga wanapoteza nafasi nyingine ya wazi hapa.,

FULL TIME

Rayon Sports 1 – 0 Yanga

Kuwa wa Kwanza kuzipata Habari za Yanga na habari nyingi za Michezo Bonyeza HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY