Matokeo Serengeti Boys vs Rwanda 21.8.2018

Matokeo Serengeti Boys vs Rwanda 21.8.2018

0

Matokeo Serengeti Boys vs Rwanda 21.8.2018

Serengeti Boys imefanikiwa kupata ushindi wa bao 4 kwa 0 ikicheza na Rwanda.

Mabao ya Serengeti Boys yamefungwa na Kelvin John ambaye amefunga mabao matatu peke yake na kuondoka na Mpira huku bao jingine likifungwa na Agiri Ngoda.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY