Matokeo Serengeti boys vs Sudan Leo 16.8.2018
Matokeo kati ya Serengeti Boys na Sudan leo 16.8.2018 moja kwa moja kutoka uwanja wa Taifa
Serengeti Boys 0 – 0 Sudan
Goaaaaaal dakika ya 11 Serengeti Boys wanapata bao kwa kona ya Moja kwa moja
Serengeti Boys 1 – 0 Sudan
dakika ya 25
Serengeti boys 1 – 0 Sudan
Dakika ya 30 Serengeti Boys wanapata bao la Pili lakini mwamuzi anakataa bao
Serengeti Boys 1 – 0 Sudan
Dakika ya 36 Serengeti Boys wanapata bao jingine linakataliwa
Serengeti Boys 1 – 0 Sudan
HALF TIME
Serengeti Boys 1 – 0 Sudan
KIPINDI CHA PILI
Goaaaaaaaaaal Kelvin John jezi namba 10 anaipatia Serengeti Boys bao la pili, dakika ya 45
Dakika ya 51 Serengeti Boys wanajaribu kufanya shambulizi mpira Unagonga mwamba na Kurejea Uwanjani
Serengeti Boys 2 – 0 Sudan
Dakika ya 53 Serengeti Boys wanapata Penati lakini Mpigaji anakosa Tuta.
Goaaaaaaal Kelvin John anaipatia Serengeti Boys goli la tatu, Dakika ya 60
Serengeti boys 3 – 0 Sudan
Goaaaaaaal Agiri Ngoda anaipatia Serengeti Boys bao la nne
Serengeti Boys 4 – 0 Sudan
Hamsa Hamsa Hamsa ndivyo unaweza kusema kwa Kiarabu ikimaanisha Tano, Ndicho wanachokifanya Serengeti Boys
Dakika ya 80
Serengeti Boys 5 – 0 Sudan
MPIRA umemalizika katika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam na Tanzania Serengeti Boys imeibuka na Ushindi wa bao 5 kwa 0 huku Kelvin John mawili na Agiri Ngoda mabao mawili akimlipa Kelvin John