Matokeo Serengeti boys vs Uganda leo 24.8.2018

Matokeo Serengeti boys vs Uganda leo 24.8.2018

0

Matokeo Serengeti boys vs Uganda leo 24.8.2018

Matokeo Serengeti Boys vs Uganda moja kwa moja kutoka uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam, Kaa na Kwataunit.co.ke upate habari za kila wakati

Mechi Imeanza

Dakika ya 3

Tanzania / Serengeti Boys 0 – 0 Uganda

Goaaaal Uganda wanapata bao kupitia kwa Abdul Idd

Serengeti Boys 0 – 1 Uganda

Dakika ya 6 Serengeti Boys wanakosa bao baada ya Shambulizi zuri, Mpira Unagonga mwamba unarudi uwanjani.

Dakika ya 10

Serengeti Boys 0 – 1 Uganda

Goaaaaaaal Edson anapiga kona ya moja kwa moja na Kuzaa goli,

Serengeti Boys 1 – 1 Uganda

Dakika ya 15

Serengeti Boys 1 – 1 Uganda

Dakika ya 24 Serengeti Boys wanafanya shambulizi moja la maana sana Kelvin John anashindwa kulenga kwa kichwa.

Dakika ya 30

Serengeti Boys 1 – 1 Uganda

Kipindi cha Kwanza kimemalizika kwa Sare ya Bao 1 kwa 1 wakianza Uganda kufunga dakika ya pili kabla ya Serengeti Boys kuja juu na Kuchomoa Goli kwa mpira wa Kona ya Moja kwa Moja, Edson.

HALF TIME

Serengeti Boys 1 – 1 Uganda

KIPINDI CHA PILI

Uganda wanaanza kwa shambulizi kali inakuwa bahati nzuri tu kwa Tanzania mpira unatioka nje kidogo ya Lango

Serengeti Boys 1 – 1 Uganda

Dakika ya 48 Serengeti Boys wanapata kona Mbili Mfululizo lakini wanashindwa kuzitumia.

Dakika ya 55

Serengeti Boys 1 – 1 Uganda

Dakika ya 60 Bado timu zote zinashambuliana kwa zamu lakini Uganda wanaonekana kuwa vizuri zaidi kipindi cha pili

Dakika ya 73 inapigwa Kona Kelvin John anapiga Kichwa kinaenda nje la Lango

Serengeti Boys 1 – 1 Uganda

Dakika ya 76 Uganda wanapata bao la Pili

Serengeti Boys 1 – 2 Uganda

Mechi inaonekana kuwa Ngumu upande wa Serengeti kwani Uganda wengi wameweka kambi upande wao huku Boys wakijitahidi kupush mashambulizi.

Dakika ya 80

sERENGETI Boys 1 – 2 Uganda

Goaaaaal Serengeti Boys wanajifunga Bao.

Serengeti Boys 1 – 3 Uganda

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY