Matokeo Simba vs Asante Kotoko Simba day 8.8.2018

Matokeo Simba vs Asante Kotoko Simba day 8.8.2018

0
  1. Matokeo Simba vs Asante Kotoko Simba day 8.8.2018

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Kipindi cha kwanza

Simba 0 – 1 Asante Kotoko

Kipindi cha pili

Dakika ya 56

Simba 0 – 1 Asante Kotoko

Dakika ya 65

Simba 0 – 1 Asante Kotoko

Dakika ya 70 bado Asante Kotoko wanaongoza kwa bao 1

Goaaaaaaaal Emmanuel Okwi anaipatia Simba ya 76

Simba 1 – 1 Asante Kotoko

Dakika ya 84 Simba wanapata penati, Asante Kotoko wanalaumu maamuzi ya refa

adam Salamba anakosa penati

Full time

Simba 1 – 1 Asante Kotoko

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY