Matokeo Simba vs Prison TPL Leo 22.8.2018

Matokeo Simba vs Prison TPL Leo 22.8.2018

0

Matokeo Simba vs Prison TPL Leo 22.8.2018

Matokeo ya Mechi kati ya Simba na Tanzania Prison mechi ya Kwanza kwa timu hizo msimu wa 2018/2019 Tanzania Premier League TPL.

Mechi imeanza

Simba 0 – 0 Tanzania Prisons

Goaaaaaal Meddie Kagere anaipatia Simba bao la Kwanza.

Simba 1 – 0 Tanzania Prisons

Dakika ya 10

Simba 1 – 0 Tanzania Prisons

Benjamin Asukile anapewa kadi ya njano baada ya kumchezea rafu Hassan Dilunga

Dakika ya 15

Simba 1 – 0 Prisons

Dakika ya 20 Simba wanamiliki mpira zaidi ya Tanzania Prisons

Simba 1 – 0 Prisons.

Shiza Kichuya dakika ya 25 anapenyeza Mpira mrefu kwa John Bocco unakuwa mrefu na Kutoka

Dakika ya 30

Simba 1 – 0 Prisons

Dakika 40

Simba 1 – 0 Prisons

Half time

Simba 1 – 0 Prisons (2′ Meddie Kagere),

KIPINDI CHA PILI

Kipindi cha pili kimeanza

Simba 1 – 0 Prisons

Dakika ya 46 Meddie Kagere anakosa anapiga kichwa kinaenda nje.

Dakika ya 60

Simba 1 – 0 Prisons

Dakika ya 65 Mwasote wa Prisons anapewa kadi ya njano

Dakika ya 70 Mzamiru anaingia kuchukua nafasi ya Kichuya

Dakika ya 80

Prisons wanaonekana kucheza vizuri na kuliweka Lango LA Simba katika hatari.

Simba 1 – 0 Prisons

Dakika ya 85 Salamba anaingia anatoka John Bocco

Zimeongezwa dakika 3 mechi kabla ya Kuisha

FULL TIME

Simba 1 – 0 Prisons (2′ Meddie Kagere)

Kuwa unapata habari za Michezo kwa haraka like ukurasa facebook HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY