Matokeo Simba vs Wamorocco Uturuki leo 1.8.2018

Matokeo Simba vs Wamorocco Uturuki leo 1.8.2018

0

Matokeo Simba vs Wamorocco Uturuki leo 1.8.2018

Matokeo ya Mchezo kati ya Simba na Wamorocco Mouloudia Oudja ya Nchini Morocco mechi ikichezwa nchini Uturuki ambapo timu hizo zimekutana kwaajili ya maandalizi ya Msimu.

Mpira Umeanza

Simba 0 – 0 Mouloudia

HALF TIME

Simba 0 – 0 Mouloudia

Dakika ya 50

Simba 0 – 0 Mouloudia

Dakika ya 55 Mouloudia WANAPATA bao la Kuongoza.

Dakika ya 58 Adam Salamba anachomoa Goli

Simba 1 – 1 Mouloudia

FULL TIME

Simba 1 – 1 Mouloudia

Mechi hiyo Ilishindwa kumalizika kwa dakika zote 90 kutokana na Mvua Kubwa Kunyesha

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY