Matokeo Stand United vs KMC TPL Leo 23.8.2018

Matokeo Stand United vs KMC TPL Leo 23.8.2018

0

Matokeo Stand United vs KMC TPL Leo 23.8.2018

Timu ya Stand United imefanikiwa kuanza vyema Ligi Kuu mara baada ya Kuifunga timu ya Manispaa ya Kinondoni KMC bao 1 kwa 0

Bao la Stand United chama la wana limepatikana dakika ya 49 kwa mpira wa adhabu uliopigwa na Eric Mbilizi.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY