Matokeo ya Yanga vs Tanzanite Academy 8.8.2018

Matokeo ya Yanga vs Tanzanite Academy 8.8.2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

 

Matokeo ya Yanga vs Tanzanite Academy 8.8.2018

Klabu ya Yanga leo imecheza mchezo wa Kirafiki dhidi ya Tanzanite Academy ya Mjini Morogoro katika mchezo wa Kujipima Nguvu.

Katika mchezo huo Yanga imefanikiwa kupata Ushindi mkubwa wa Bao 5 kwa 1.

Magoli ya Yanga yamefungwa na Heritier Makambo, Mrisho Ngassa, Deus Kaseke, Emmanuel Martin na Maka Edward.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY