Matokeo Yanga vs Kilosa Combine leo 13.8.2018

Matokeo Yanga vs Kilosa Combine leo 13.8.2018

0

Matokeo Yanga vs Kilosa Combine leo 13.8.2018

Timu ya Yanga leo ilikuwa na Mwaliko mwingine Mkoani Morogoro katika Wilaya ya Kilosa ambapo walicheza na Timu ya Combine ya Wilaya Hiyo.

Katika mchezo huo timu ya Yanga imeibuka na Ushindi wa bao 1 kwa 0 goli hilo la Yanga likiwekwa Nyavuni na Raphael Daud Loth.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY