Mkuu wa mkoa Arusha awapiga Mkwara Simba aandika ujumbe Huu

Mkuu wa mkoa Arusha awapiga Mkwara Simba aandika ujumbe Huu

0

Mkuu wa mkoa Arusha awapiga Mkwara Simba aandika ujumbe Huu

Kesho jiji la Arusha litashuhudia mchezo wa Kirafiki kati ya Arusha United dhidi ya Simba katika uwanja wa Sheikh Amri Abeib.

Kuelekea mchezo huo Mkuu wa mkoa wa Arusha ameanza mikwara kwa Simba akidai kesho watapokea kipigo cha Mbwa koko.

Akitumia Ukurasa wake wa instagram mkuu wa Mkoa wa Arusha mrisho Gambo ameandika Ujumbe HUU hapo chini.

” Kesho tarehe 15/08/2018 Arusha United Sports Club ( Wana Utalii ) wanatarajiwa kuipa kipigo Cha Mbwa Koko Simba Sports Club kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.

Kwa kweli Simba nawahurumia maana watapata taabu saaana!

Arusha salama na tulivu! “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY