Mkwasa afanyiwa upasuaji wa Moyo India

Mkwasa afanyiwa upasuaji wa Moyo India

0

Mkwasa afanyiwa upasuaji wa Moyo India

Aliyekuwa katibu mkuu wa Klabu ya yanga Charles Boniface Mkwasa amefanyiwa upasuaji mkubwa wa Moyo nchini India na sasa inaelezwa yupo katika chumba cha uangalizi maalumu ICU.

Boniface Mkwasa ilibidi aachie ngazi ndani ya Yanga baada ya Kushauriwa na wataalamu (Madaktari) kuachana na baadhi ya kazi ambazo

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY