Muda sahihi wa Mechi ya Simba na Ittihad Tanger leo 3.8.2018

Muda sahihi wa Mechi ya Simba na Ittihad Tanger leo 3.8.2018

0

Muda sahihi wa Mechi ya Simba na Ittihad Tanger leo 3.8.2018

Mabingwa wa soka nchini Tanzania klabu ya soka ya Simba leo inashuka Dimbani kucheza mchezo wake wa pili wa kirafiki wakicheza na Wamorocco wengine baada ya mchezo wa awali pia kucheza na Wamorocco wengine huko huko Uturuki ambapo timu imeweka Kambi kujiandaa na Msimu.

Klabu ya Simba leo inacheza na Mabingwa wa soka nchini Morocco msimu wa 2017/2018 na mchezo huo utaanza majira ya saa nane na Nusu mchana kwa saa za morocco ambazo ni sawa na saa kumi na nusu kwa saa za Afrika Mashariki (Kenya , Uganda na Tanzania)

Kikosi cha Simba kilichoanza mchezo uliopita dhidi ya Mouloudia Oujda

1:Aishi Manula
2:Shomari Kapombe
3:Asante Kwasi
4:James Kotei
5:Pascal Wawa
6:Jonas Mkude
7:Shiza Kichuya
8:Claotous Chama
9:Medie Kagere
10:Hassan Dilunga
11:Emanuel Okwi (C)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY