Mwinyi Zahera sasa furaha tele baada ya Hili Yanga

Mwinyi Zahera sasa furaha tele baada ya Hili Yanga

0

Mwinyi Zahera sasa furaha tele baada ya Hili Yanga

Yanga bado iko mkoani Morogoro ikijifua vilivyo kuhakikisha inakuwa vizuri msimu huu huku ikiendelea kucheza mechi kadhaa za kirafiki ili kuweka kikosi chao fiti.

Lakini wakati Yanga ikicheza michezo ya Kirafiki mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Morogoro Tanzanite Academy mshambuliaji wa timu hiyo Matheo Anthony aliumia na kushindwa kuendelea na mazoezi yanayoendelea na wenzake huko Morogoro.

Kocha wa Timu ya yanga Zahera Mwinyi ameonyesha furaha yake kwenye kikosi cha Yanga mara baada ya mshambuliaji wa huyo wa Yanga kurejea katika mazoezi na kuanza kufanya mazoezi siku ya jana asubuhi.

Kocha huyo amewahi kukiri kukoshwa na uwezo wa Matheo Anthony mchezaji ambaye hakuwa na nafasi kwenye kikosi cha Yanga enzi za George Lwandamina akiwa Kocha

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY