RASMI: Simba waitangaza timu watakayocheza nayo Simba Day

RASMI: Simba waitangaza timu watakayocheza nayo Simba Day

0

RASMI: Simba waitangaza timu watakayocheza nayo Simba Day

Klabu ya Simba mchana huu imetangaza timu ambayo itacheza nayo kuelekea Simba Day huku ikivunja yale maneno ambayo yalikuwa yakiandikwa na baadhi ya Vyombo vya Habari ambavyo viliripoti kuwa Simba itacheza na AFC Leopards.

Akiongea na waandishi wa Habari mchana wa leo ameitaja timu ya Asante Kotoko ya Ghana moja ya vilabu vikubwa zaidi Afrika Magaharibi na Afrika kwa Ujumla.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY