Ratiba ligi kuu Tanzania bara leo 31.8.2018
Baada ya Ligi kukaa siku kadhaa bila kuchezwa Ligi kuu soka ya Tanzania bara itaendelea leo kwa mchezo mmoja kuchezwa.
Ligi hiyo itaendelea kwa mchezo mmoja kati ya Singida United watakaokuwa wenyeji wa Mbao Fc kutoka mwanza mechi ikichezwa uwanja wa Namfua.
Singida United wapo nafasi ya 10 wakiwa na Points 3 wakati Mbao Fc wakiwa nafasi ya 3 na points 6.