Ratiba Ligi kuu ya England leo 18.8.2018
Ligi kuu ya Engaland leo 18.8.2018 itaendelea kwa mechi 6 kuchezwa mechi ya Kwanza ikianza saa nane na Nusu mchana kati ya Cardiff City na Newcastle na Mechi ya Mwisho kwa leo ni ile ya saa moja na nusu usiku kati ya Chelsea dhidi ya Arsenal (London Derby)
Bonyeza hapa KULike Ukurasa wetu wa facebook kuzipata habari kwa Haraka zaidi
Ratiba ya Mechi zote za Leo England Hizi hapa
14:30 Cardiff City ? – ? Newcastle United
17:00 Everton ? – ? Southampton
17:00 Leicester City ? – ? Wolverhampton Wanderers
17:00 Tottenham Hotspur ? – ? Fulham
17:00 West Ham United ? – ? AFC Bournemouth
19:30 Chelsea ? – ? Arsenal