Ratiba mechi 4 za Ligi kuu TPL Leo 23.8.2018

Ratiba mechi 4 za Ligi kuu TPL Leo 23.8.2018

0

Ratiba mechi 4 za Ligi kuu TPL Leo 23.8.2018

Baada ya Jana  kushuhudia jumala ya mechi 6 zikichezwa katika viwanja mbalimbali huku kukitokea baadhi ya Matokeo ya Kushangaza kwa wengi leo ligi kuu Itaendelea kwa mechi 4 kuchezwa.

Stand United chama la wana itakuwa nyumbani Uwanja wa Kambarage kuwakaribisha African Lyon ya Dar Es Salaam.

Nao JKT Tanzania waliopanda ligi kuu soka ya Tanzania bara baada ya Kushuka leo watakuwa wenyeji wa KMC mechi ikichezwa katika mkoa wa Pwani.

Magazeti ya Michezo leo 23.8.2018

Yanga watakuwa uwanja wa Taifa kucheza mchezo na Mabingwa wa kombe la FA Timu ya Mtibwa Sugar.

Nao Azam Fc waliokuwa wameweka kambi yao nchini Uganda wao watakuwa wenyeji wa Mbeya City katika uwanja wa Azam Complex. Hakikisha Umelike Ukurasa wetu wa Facebook kuzipata habari kwa haraka zaidi, Bonyeza HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY