Rwanda yaanza vyema CECAFA AFCON Zonal Qualifier 2018

Rwanda yaanza vyema CECAFA AFCON Zonal Qualifier 2018

0

Rwanda yaanza vyema CECAFA AFCON Zonal Qualifier 2018

Timu ya taifa ya Vijana wa Rwanda chini ya Miaka 17 imeanza vyema michuano ya CECAFA afcon zonal Qualifier ikicheza mbele ya Sudan.

Rwanda imefanikiwa kupata Ushindi wa bao 3 kwa 1 mabao ya Rwanda yakifungwa na Moise Nyarugabo,Rodrique Isingizwe na Jean Ishemiwe huku bao pekee la Suda likifungwa na Mohammed Badr

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY