Sababu za Cletous Chama kukosekana mechi dhidi ya Mtibwa leo

Sababu za Cletous Chama kukosekana mechi dhidi ya Mtibwa leo

0

Sababu za Cletous Chama kukosekana mechi dhidi ya Mtibwa leo

Mara baada ya Kikosi cha Simba kitakachoshuka dimbani kucheza na Mtibwa Sugar leo 18.8.2018 katika uwanja wa CCM KIRUMBA kutoka na Jina la Chama kukosekana kwenye kikosi cha Simba dhidi ya Mtibwa watu wengi wamekuwa wakijiuliza sababu.

Lakini sababu kubwa msomaji wa Kwataunit.co.ke za Chama kukosekana ni kutokana na Kuchelewa kwa hati ya uhamisho ya Kimataifa ya mchezaji huyo mpya wa Simba kutoka nchini Zambia.

Bonyeza hapa KULike Ukurasa wetu wa facebook kuzipata habari kwa Haraka zaidi

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY