Sababu za Niyonzima kutokwenda safari ya Uturuki Hii hapa

Sababu za Niyonzima kutokwenda safari ya Uturuki Hii hapa

0

Sababu za Niyonzima kutokwenda safari ya Uturuki Hii hapa

Washabiki wengi wa Simba wakiwa wanajiuliza alipo Haruna Niyonzima hasa baada ya kukosekana kwenye kambi ya Uturuki lakini pia akakosekana kwenye SIKU ambayo wachezaji wa Simba Hutambulishwa Yani Simba Day.

Taarifa za uhakika ambazo kwataunit.co.ke imezipata kutoka kwa watu wa Karibu wa Niyonzima zinasema kuwa Niyonzima hakuwa kwenye safari ya Uturuki kutokana na Passport yake kumaliza Muda wake.

Hali ambayo ilimfanya kushughulikia suala hilo lakini akashindwa kukamilisha suala hilo kwa wakati, Tayari Niyonzima yupo nchini Tanzania akisubiri Kikao na Viongozi wa Simba ambao waliahidi kukaa naye ili awape sababu za Kwanini alishindwa kuripoti kwa wakati.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY