Simba inazidi kunoga ipate nyingine njema Kutoka Simba leo

Simba inazidi kunoga ipate nyingine njema Kutoka Simba leo

0

Simba inazidi kunoga ipate nyingine njema Kutoka Simba leo

Wakati Simba jana ikiisambaratisha wagonga nyundo kutoka jiji la Mbeya City kwa bao 2 kwa 0 mabao ya meddie Kagere kwa Dicing Header kuna habari nyingine Njema.

Kwani si wote tunakumbuka ile shughuli ya Yule nahodha msaidizi wa Chipolopolo timu ya Taifa ya Zambia Cletous Chota Chama?

Basi ikufikie tu kuwa Kiungo huyo tayari Kile kibali chake cha kucheza soka Nchini cha Kimataifa ITC tayari kimetua nchini na sasa ataanza kucheza Simba rasmi.

Habari hizi za ITC ya Cletous Chama kuwasili  zimethibitishwa na Simba kupitia kwa Afisa habari wake Haji manara ambaye kupitia ukurasa wake maalumu wa Instagram. Kuzipata habari za Simba kwa wakati Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY