Simba kucheza na Namungo Fc leo 11.8.2018

Simba kucheza na Namungo Fc leo 11.8.2018

0

Simba kucheza na Namungo Fc leo 11.8.2018

Mara baada ya Kutua nchini Tanzania Simba ilicheza mchezo wa kirafiki na mabingwa zamani wa Ghana Asante Kotoko katika mchezo wa Kusherehesha Simba Day.

Mara baada ya mchezo huo Simba leo Itakuwa mkoani Lindi katika wilaya ya Ruangwa kwenye Shughuli mbili ya Kwanza kuzindua uwanja uliojengwa kwa Nguvu za wananchi na kupewa jina la Waziri mkuu Majaliwa Stadium lakini pia kucheza mchezo wa Kirafiki na Namungo Fc

Mchezo huo msomaji wa Kwataunit.co.ke utaaanza majira ya saa kumi kamili za Alasiri na mtandao wetu tutahakikisha tunakupatia matokeo hayo moja kwa moja wakati mchezo huo Ukiendelea

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY