Simba vs Mtibwa Sugar 18.8.2018 Ngao ya Jamii

Simba vs Mtibwa Sugar 18.8.2018 Ngao ya Jamii

0

Simba vs Mtibwa Sugar 18.8.2018 Ngao ya Jamii

Leo ni Simba vs Mtibwa Sugar 18.8.2018 katika mchezo wa Ngao ya Jamii mechi ikichezwa katika uwanja wa CCM Kirumba uliopo wilayani Ilemela jijini Mwanza.

Mechi hiyo Inazikutanisha Simba ambao ni Mabingwa wa ligi kuu soka ya Tanzania Bara msimu wa 2017/2018 na Mtibwa Sugar wana Tam Tam ambao walikuwa Mabingwa wa Kombe la Shirikisho maarufu zaidi kama Azam Sports Federation Cup.

Mechi hiyo itaanza majira ya saa kumi kamili muda wa Afrika Mashariki.

Bonyeza hapa KULike Ukurasa wetu wa facebook kuzipata habari kwa Haraka zaidi

Majeruhi kuelekea mchezo wa Simba vs Mtibwa Sugar 18.8.2018

Simba ndiyo klabu iliyotangaza kuwa itawakosa nyota wake wawili Shomari Kapombe ambaye aliumia katika mchezo kati ya Simba na Asante Kotoko Simba Day na Nahodha John Raphael Bocco.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY