Simba waitaja timu na Siku watakayocheza mechi Arusha

Simba waitaja timu na Siku watakayocheza mechi Arusha

0

Simba waitaja timu na Siku watakayocheza mechi Arusha

Klabu ya soka ya Simba baada ya Kucheza mchezo wa Kirafiki mkoani Lindi na Timu ya Namungo Fc jana Jumatatu ilisafiri mpaka mkoani Arusha na Kutua salama mkoani Humo.

 

Simba wamethibitisha kuwa jumatano ya wiki hii (Kesho ) watacheza mchezo wa Kirafiki na timu ya Arusha United (Zamani JKT Oljoro) inayoshiriki ligi daraja la kwanza Tanzania Bara.

Mchezo huo Simba itautumia kama maandalizi ya Msimu lakini pia kama maandalizi ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Mtibwa Sugar 18.8.2018 mechi ambayo Itachezwa mkoani Mwanza katika Dimba la CCM Kirumba lililopo wilayani Ilemelela jijini Mwanza.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY