Simba wataja wachezaji ambao watakosekana mchezo dhidi ya Prisons

Simba wataja wachezaji ambao watakosekana mchezo dhidi ya Prisons

0

Simba wataja wachezaji ambao watakosekana mchezo dhidi ya Prisons

Klabu ya Simba kesho Jumatano 21.8.2018 itashuka Dimbani kucheza mechi yake ya Kwanza ya Ligi kuu Tanzania Bara ikicheza dhidi ya Tanzania Prisons ambao walikuwa wameweka Kambi yao Visiwani Zanzibar.

Kuelekea mchezo huo Klabu ya Simba imewataja wachezaji wawili tu ambao watakosekana katika mchezo huo dhidi ya Tanzania Prisons kuanzia majira ya saa kumi na Mbili Jioni.

Viingilio mechi ya Simba na Prisons 22.8.2018

Wachezaji ambao watakosekana ni Kiungo Cletous Chota Chama raia wa Zambia na Deogratius Munishi maarufu kama Dida.

SABABU ZA WACHEZAJI HAO KUKOSEKANA

Wachezaji hao msomaji wa Kwataunit.co.ke watakosekana kutokana na Vibali vyao vya Kimataifa ITC kuchelewa kufika Nchini kutoka kwenye nchi walizokuwa wakicheza., Dida Afrika Kusini na Chama Zambia.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY