Simba watangaza viingilio mechi ya Simba vs Prisons 22.8.2018

Simba watangaza viingilio mechi ya Simba vs Prisons 22.8.2018

0

Simba watangaza viingilio mechi ya Simba vs Prisons 22.8.2018

Klabu ya Simba leo imetangaza viingilio vya mechi kati ya Simba na Prisons mechi ya Uzinduzi wa Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara 2018/2019.

Mchezo huo utachezwa katika uwanja wa Uhuru ambao kiingilio cha Juu ni shilingi 15,000 na Cha Chini kabisa ni 3000.

VIP A 15,000 (ELFU KUMI NA TANO)
VIP B 10,000 (ELFU KUMI)
MZUNGUKO 3,000 (ELFU TATU)
WATOTO 1,500 (ELFU MOJA NA MIA TANO TU)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY