Taarifa mpya waliyoitoa Yanga jioni Hii 7.8.2018

Taarifa mpya waliyoitoa Yanga jioni Hii 7.8.2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Taarifa mpya waliyoitoa Yanga jioni Hii 7.8.2018

Klabu ya Yanga Jioni hii imetoa Taarifa kutoka katika mtandao wake wa Instagram juu ya Kambi yao Inayoendelea katika mkoa wa MOROGORO ambapo leo walifanya mazoezi katika uwanja wa Highlands.

Kupitia Ukurasa wa Instagram Yanga wameandika Ujumbe Huu.

” Mazoezi yanaendelea jioni hii highland Park Morogoro, hali za wachezaji kiujumla ni nzuri kabisa, Hakuna aliye na majeraha 
12/8/2018 MAWENZI FC VS YANGA SC “

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY