Taarifa muhimu kuhusu mechi ya Simba na Prisons

Taarifa muhimu kuhusu mechi ya Simba na Prisons

0

Taarifa muhimu kuhusu mechi ya Simba na Prisons

Mchezo kati ya Simba na Tanzania Prisons uliokuwa uchezwe majira ya saa moja usiku umesogezwa mbele zaidi.

Mchezo huo sasa utaanza majira ya saa mbili usiku katika uwanja wa Taifa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY