Taarifa Muhimu kutoka Uturuki kuhusu mechi ya Simba na Ittihad Tanger

Taarifa Muhimu kutoka Uturuki kuhusu mechi ya Simba na Ittihad Tanger

0

Taarifa Muhimu kutoka Uturuki kuhusu mechi ya Simba na Ittihad Tanger

Leo kulikuwa na Ratiba ya Simba kucheza mchezo wa Kirafiki na Klabu ya Ittihad Tanger ambao ndiyo mabingwa wa Soka nchini Morocco.

Lakini Taarifa za uhakika ambazo mtandao wa kwataunit.co.ke imezipata kutoka nchini Uturuki mechi hiyo iliyopangwa kuchezwa saa kumi na nusu alasiri imeahirishwa.

Mechi hiyo imeahirishwa kuchezwa kutokana na Mvua kubwa inayonyesha huko nchini Uturuki kwa sasa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY