Ujumbe wa Faraja alioandika Makambo asubuhi hii kwa wanaYanga

Ujumbe wa Faraja alioandika Makambo asubuhi hii kwa wanaYanga

0

Ujumbe wa Faraja alioandika Makambo asubuhi hii kwa wanaYanga

Katika wachezaji ambao kwa siku ya jana wamewafurahisha washabiki,wanachama na wapenzi wao basi Heritier Makambo ni mmoja wao kwani ameongeza matumaini kwenye kikosi chao upande wa Ushambuliaji.

Baada ya mechi hiyo msomaji wa kwataunit Heritier Makambo akitumia Ukurasa wake wa Instagram amendika ujumbe wa Faraja kwa WanaYanga akiwaahidi wategemee mengi kutoka kwake na Wacongo wote waliopo kwenye chama lao la Yanga.

We travelled the land,not for rugby,not for music,not for anything other than FOOTBALL. So we here to play for Young African and to make the fans happy. Expect alot from the Army. Its the beginning and not the end. We apply the same pressure as we started. Peace y’all @klakindoki_nkynzy @papytshishimbi_24

Kwa Kiswahili.

Tumetoka mbali siyo kwaajili ya kucheza Rugby, siyo kwa Muziki na siyo kwa kitu chochote zaidi ya soka, Tupo hapa kucheza kwaajili ya yanga na kuwafanya washabiki wawe na Furaha, Tegemeeni mengi kutoka kwenye hili jeshi, Huu ni Mwanzo tu na siyo Mwisho, Tutatumia nguvu ileile kama Tuliyoanza nayo. Amani kwenu nyote

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY