Ujumbe wa Haji Manara baada ya Simba Day

Ujumbe wa Haji Manara baada ya Simba Day

0

Ujumbe wa Haji Manara baada ya Simba Day

Mara baada ya Siku ya Simba kumalizika kwa mchezo kati ya Simba na Asante Kotoko na Simba Kulazimishwa sare ya bao 1 kwa 1 Afisa Habari wa Simba Haji Manara aliandika Ujumbe Huu hapo chini.

Magazeti ya Michezo leo

“Alhamdulillah ndio neno langu la kwanza kwenu..niwashukuru sana Wanasimba wote waliokuja uwanjani jana na ambao hawakujaliiwa..nishukuru pia mashabiki wa team nyingine walioungana nasi lakini ntakuwa mchoyo wa fadhila nisipowashukuru wanahabari wenzangu mlionisaidia kuitangaza Simba Day..mbali ya watu wote mliopost kwenye page zenu kuitangaza siku kubwa kabisa ya jana..Mwisho nivishukuru vyombo vya usalama vyote kwa kutupa ulinzi wa uhakika..nasi tunapokea pongezi zenu ila mapungufu mtuwie radhi na tutazidi kuyarekebisha… “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY