USAJILI: Wachezaji waliohama siku ya mwisho Ligi kuu ya England EPL

USAJILI: Wachezaji waliohama siku ya mwisho Ligi kuu ya England EPL

0

USAJILI: Wachezaji waliohama siku ya mwisho Ligi kuu ya England EPL

Dirisha kuu la uhamisho wa wachezaji England lilifungwa mnamo Alhamisi 9 Agosti saa moja saa Afrika Mashariki (ambazo ni saa kumi na moja England – 17.00BST), mwaka huu soko likifungwa mapema kuliko misimu ya awali.

Klabu zinazocheza ligi nyingine England na Wales, miongoni mwake ligi za Championship, League One na League Two bado zinaweza kuendelea kuwanunua wachezaji hadi mwisho wa mwezi huu.

Soko la kuhama wachezaji Scotland pia litafungwa 31 Agosti sawa na katika mataifa mengine Ulaya.

Siku ya mwisho, nani alihama?

Presentational grey line

9 Agosti

Ligi Kuu ya England

* saa ni wakati (kwa BST) uhamisho ulipotangazwa na klabu

20:30 Danny Ings [Liverpool – Southampton] Mkopo

20:20 Andre-Frank Zambo Anguissa [Marseille – Fulham] £22.3m

20:20 Timothy Fosu-Mensah [Manchester United – Fulham] Mkopo

20:02 Andre Gomes [Barcelona – Everton] Mkopo

20:02 Yerry Mina [Barcelona – Everton] £27.19m

19:21 Domingos Quina [West Ham – Watford] Ada Haijafichuliwa

19:01 Luciano Vietto [Atletico Madrid – Fulham] Mkopo

18:59 Martin Montoya [Valencia – Brighton] Ada Haijafichuliwa

18:35 Federico Fernandez [Swansea – Newcastle] iliripotiwa kuwa £6m

18:30 Harry Arter [Bournemouth – Cardiff] Mkopo

18:00 Caglar Soyuncu [Freiburg – Leicester] iliripotiwa kuwa £19m

18:00 Jordan Ayew [Swansea – Crystal Palace] Mkopo

17:40 Joe Bryan [Bristol City – Fulham] £6m

17:18 Sergio Rico [Sevilla – Fulham] Mkopo

17:15 Peter Gwargis [Jonkopings Sodra IF – Brighton] Ada Haijafichuliwa

17:01 Isaac Mbenza [Montpellier – Huddersfield] Mkopo

17:00 Carlos Sanchez [Fiorentina – West Ham] Ada Haijafichuliwa

16:59 Dan Burn [Wigan – Brighton] Ada Haijafichuliwa*

*Burn atarejea Wigan kwa Mkopo hadi Januari 2019

16:50 Bernard [Shakhtar Donetsk – Everton] Bila Ada

14:30 Leander Dendoncker [Anderlecht – Wolves] Mkopo

13:00 Victor Camarasa [Real Betis – Cardiff] Mkopo

10:45 Filip Benkovic [Dinamo Zagreb – Leicester] Ada Haijafichuliwa

10.31 Lucas Perez [Arsenal – West Ham] Ada Haijafichuliwa

10:02 Mateo Kovacic [Real Madrid – Chelsea] Mkopo

08:06 Daniel Arzani [Melbourne City – Manchester City] Ada Haijafichuliwa

credit : BBC

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY