Viingilio , Mgeni Rasmi na Wasanii watakaoshiriki Simba Day

Viingilio , Mgeni Rasmi na Wasanii watakaoshiriki Simba Day

0

Viingilio , Mgeni Rasmi na Wasanii watakaoshiriki Simba Day

KLABU ya Simba ya Jijini Dar Es Salaam hatimaye imeweka wazi kila kitu kuelekea kilele cha Simba Day 8.8.2018 siku ambayo Simba itatumia kutambulisha nyota wake watakaoshiriki ligi kuu na Mashindano mbalimbali.

Kuelekea Simba Day 2018 Simba imemtangaza Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa kama mgeni rasmi kuelekea siku hiyo ya Simba Day.

Huku Viingilio vikitajwa kwa Kidogo zaidi shilingi 5000 na Kikubwa Shilingi elfu Ishirini.

 

1. Mzunguko – Tsh 5,000=

2. VIP B – Tsh 15,000/=

3. VIP A – Tsh 20,000/=

 

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva na waigizaji wa filamu nchini akiwemo, Mwasiti, Monalisa, Tundaman, Jacob Steven, Msaga Sumu na Anty Ezekiel kuinogesha Simba day Agosti 8 Huku Band ya Twanga Pepeta nayo ikitajwa Kuwepo Siku hiyo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY