Wachezaji 6 wa Simba waondolewa kikosi cha timu ya Taifa

Wachezaji 6 wa Simba waondolewa kikosi cha timu ya Taifa

0

Wachezaji 6 wa Simba waondolewa kikosi cha timu ya Taifa

Wachezaji wa Simba SC John Bocco, Shiza Kichuya, Erasto Nyoni, Jonas Mkude pamoja na Hassan Dilunga wameenguliwa katika kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) na Kocha Mkuu Emmanuel Amunike kwa kosa la kuchelewa kuingia kambini mchezaji pekee aliyebaki kwenye kikosi hiko ni Aishi Manula ambaye aliwahi.

Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidao ndiye aliyeeleza sababu zilizopelekea kuondolewa kwa nyota hao Sita pamoja na adhabu inayokwenda kwa Kaimu Katibu wa Simba Mzee Kisiwa pamoja na Meneja wa Kikosi hicho Richard Robert.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY