Wakati bado hakieleweki na Simba Niyonzima Huyooo na yanga

Wakati bado hakieleweki na Simba Niyonzima Huyooo na yanga

0

Wakati bado hakieleweki na Simba Niyonzima Huyooo na yanga

Wakati ikiwa haijaeleweka Bado Kuhusiana na uongozi wa Simba ulivyomalizana na Simba kuhusiana na kiungo fundi kutoka Rwanda Haruna Niyonzima Niyonzima mara baada ya kutoungana na timu wakati wa kambi ya Uturuki.

Kiungo huyo anayesifika kwa uwezo wake wa kuufanya mpira anavyotaka ameonekana akiwa na klabu ya Yanga wakati timu hiyo ikiwa jijini Kigali ikicheza na Rayon Sports.

Niyonzima mara kadhaa amekuwa akihojiwa kama anaweza akarejea Yanga na amekuwa akifunguka kuwa yeye hana tatizo na na Yanga na kama atamalizana na Simba anaweza kucheza timu yoyote kama wataelewana maana yeye kucheza mpira ni kazi yake

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY