Yanga kuuza Tshirts maalum za Kumuaga Nadir Cannavaro ni hizi Hapa

Yanga kuuza Tshirts maalum za Kumuaga Nadir Cannavaro ni hizi Hapa

0

Yanga kuuza Tshirts maalum za Kumuaga Nadir Cannavaro ni hizi Hapa

Klabu ya Yanga imetoa Tshirts maalumu za Kumuaga aliyekuwa nahodha wa Yanga Nadir Haroub Cannavaro ambazo washabiki na wanachama watazivaa siku ya Kumuaga katika mechi kati ya Yanga na Mawenzi Market ya Mkoani Morogoro uwanja wa Jamhuri 12.8.2018.

Kupitia ukurasa wa Yanga wa Instagram wameweka Picha ya Tshirts hizo na maelezo kama inavyoonekana hapo chini.

Walichoandika Yanga kuhusu tshirts maalumu za Cannavaro.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY