Yanga waruhusiwa rasmi kumtumia Heritier Makambo Kimataifa

Yanga waruhusiwa rasmi kumtumia Heritier Makambo Kimataifa

0

Yanga waruhusiwa rasmi kumtumia Heritier Makambo Kimataifa

Klabu ya Yanga wameandika ujumbe ambao ni wa furaha kwa washabiki wao ujumbe wa Kuruhusiwa kwa Heritier Makambo raia wa Congo kutumika katika michuano ya CAF

Ujumbe Huu hapo chini.

CAF imemthibitisha HERITIER MAKAMBO kuitumikia kwenye mashindano ya kimataifa, hivyo ni ruksa kumtumia kwenye mchezo ujao dhidi ya @usmalgerofficiel

@heritier_makambo welcome

A post shared by Young Africans SC (@yangasc) on

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY