Yanga wathibitisha jambo jingine kuhusu Manji ukiacha la Kwenda Uwanjani

Yanga wathibitisha jambo jingine kuhusu Manji ukiacha la Kwenda Uwanjani

0

Yanga wathibitisha jambo jingine kuhusu Manji ukiacha la Kwenda Uwanjani

Wakati baadhi ya watu wakiamini Yanga wametafuta tu kiki kusema kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Yusuph Manji atakuwepo uwanjani kushuhudia Yanga ikicheza dhidi ya USM Alger 19 Agosti 2018

Mwenyekiti wa kamati ya mashindano wa klabu ya Yanga Hussein Nyika ameendelea kusisitiza kuwa Yusuph Manji amethibitisha kuwepo kesho uwanjani.

Bonyeza hapa KULike Ukurasa wetu wa facebook kuzipata habari kwa Haraka zaidi

JAMBO JINGINE ALILOTHIBITISHA.

Hussein Nyika amethibitisha kuwa Yusuph Manji leo atakuwa na KIKOSI CHA wachezaji wa Yanga ambao wameingia leo Dar Es Salaam wakitokea Morogoro  akipata nao chakula cha Usiku.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY