Adhabu iyopewa meneja wa Simba Richard Robert na TFF

Adhabu iyopewa meneja wa Simba Richard Robert na TFF

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Adhabu iyopewa meneja wa Simba Richard Robert na TFF

Shairikisho LA soka nchini Tanzania TFF kupitia kwa kamati yake ya maadili limemfungia meneja wa Simba mwaka mmoja na Faini ya milioni 4.

Meneja Huyo was Simba Richard Robert amekutwa na hatia kwenye ma ye makosa mawili la kwanza ikiwa ni kutotimiza maagizo aliyopewa na TFF na kosa la Pili likiwa ni kuihujumu timu ya Taifa

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY