Alichokisema beki wa Rayon Rwatubyaye baada ya kutajwa usajili Yanga

Alichokisema beki wa Rayon Rwatubyaye baada ya kutajwa usajili Yanga

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Alichokisema beki wa Rayon Rwatubyaye baada ya kutajwa usajili Yanga

Baada ya taarifa nyingi zikimhusisha beki kitasa wa Rayon Sports Abdul Rwatubyaye kuwa katika rada za Yanga baada ya kamati ya usajili kuvutiwa na uwezo wake uwanjani wakati Yanga ikicheza na Rayon Sports mwenyewe amefunguka.

Abdul Rwatubyaye msomaji wa Kwataunit.co.ke amefunguka kuwa ni kweli kuna viongozi wa Yanga walimfuata na kufanya naye mazungumzo mafupi baada ya mchezo kati yao na kisha wakabadilishana mawasiliano.

Beki huyo alifunga kuwa Viongozi hao walionyesha kuwa wanamwitaji na yeye hana tatizo la kucheza soka Tanzania katika klabu ya Yanga japo bado anamkataba na Rayon Sports.

Abdul Rwatubyaye alisema anamkataba na Rayon lakini haimzuii yeye kutua Yanga kama Yanga watamalizana na Timu yake na yeye mwenyewe.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY