Alichokisema Masoud Djuma baada ya kuachwa safari ya Mtwara

Alichokisema Masoud Djuma baada ya kuachwa safari ya Mtwara

0

Alichokisema Masoud Djuma baada ya kuachwa safari ya Mtwara

Baada ya Taarifa kuzagaa kuwa kocha msaidizi wa klabu ya Simba Masoud Djuma hataongozana na kikosi cha wachezaji 20 walioondoka leo kwenda Mtwara kwaajili ya mechi dhidi ya Ndanda

Masoud Djuma amezungumza haya baada ya kuachwa Dar Es Salaam.

“Kuhusu kwanini siendi hilo sio swali langu, ila natambua nimeambiwa nibaki na hawa wachezaji ambao hawataenda Mtwara na tuendelee kufanya mazoezi kama kawaida, sababu nyingine nje ya hiyo mi sijui,”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY